×
Manasik ya hajj: Ubao wa hadithi katika lugha ya kiswahili iliotengenezwa na sheikh doktur Heitham Sarhaan, inayobainisha kila kitu anayohitaji yule anayefanya hajj hatua kwa hatua na kwa njia iliyopendeza na kwa ufupi na iliyokuwa wazi kwa picha na alama ili atekeleze hii wajib kubwa kama alivyofanya mtume صلى الله عليه وسلم, aliyesema chukueni kwangu Namna ya kufanya ibada.