×
Image

Daud M. Angni

No Description

Image

Muhamed b. Abdul-Vehhab

No Description

Image

Muhammad bin Abdul-Wahhab

Yeye ni Sheikh Muhammad bin Abdul-Wahhab bin Sulaiman A'ttamiymy, kazaliwa mwaka 1115هـ katika mji wa Uyaina Najdi katika Jazira ya kiarabu, ana vitabu vingi, na wameshuhudia juu yake wanachuoni kwa Elimu na Dini na Msimamo, na amefariki mwaka 1206 هـ Mwenyezi Mungu amrehemu akiwa na myaka 91

Image

Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen

Ni Abuu Abdillah Muhammad Ibn Swaleh bin Swaleh bin Sulaiman bin Abdul Rahman bin Othman bin Abdullah bin Abdulrahman bin Ahmed bin Muqbil katika Ali Muqbil katika Al Raes Al Wahbiy AlTamimi, na Babu yake wa nne Othman ndie alie itwa Uthaymeen, akajulikana kwa jina hilo, nae nikatika kizazi cha....