Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.
MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH - (Kiswahili)
UMUHIMU WATAUHIDI1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Maana ya Tawhiid na umuhimu wa Tawhiid na Tawhiid ndio msingi wa amani katika maisha ya duniani.
UMUHIMU WATAUHIDI 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid katika Daawa na ndio jambo lakwanza linalo takiwa lianze katika daawa.
UMUHIMU WATAUHIDI 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid na uzito wa sura zilizo shuka kuizungumzia Tawhiid.
KUCHUPA MIPAKA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia kuchupa mipaka katika Dini.
USHIRIKINA KATIKA IBADA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia balaa la ushirikina katika Ibadan a madhara yake.
NIIPI HUKUMU YA DUA YA AHLU BADRI? 1 - (Kiswahili)
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kuwaomba watu walio kufa katika vita vya Badri na mafungamano yao na waganga wa kienyeji.
NIIPI HUKUMU YA KUWAOMBA WALIO PIGANA VITA VYA BADRI NO2 - (Kiswahili)
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia kua Kuwaomba waliopigana katika vita vya Badri niushirikina.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Elimu inayo pingana na Ujinga.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Yaqini na Qabuli.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni kuzingatiya au kunyenyekea na kuwa ikhlas na mapezi.
KUWA NA TAWHID YA KWELI NI SABABU YA KUPATA MWISHO MWEMA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Bishara wanayopewa na Allah watu wenye tawhid na msimamo wa kweli katika imani na ucha Mungu.

API

