×
Image

Uchawi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.

Image

Miongoni Mwa Sifa Za Watu Wema - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia sifa za watu wema na uwaijibu wa waislam kuwafuata watu wema.

Image

Ruqya Ya Kisheriya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ruqya ya kisheria na jinsi ya kutowa majini, na vipi jinni anaweza kumuingia mtu na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.

Image

SABABU 21 ZA KUMFANYA MUISLAM ASISHEREHEKEEA MAULIDI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA SABABU 21 AMBAZO ZINAMFANYA MUISLAM ASISHEREHEKEE MAZAZI YA MTUME S.A.W. NA INAWEKA WAZI UBATILIFU WA MAULIDI.

Image

KHUTBA YA EDDI KUHUSU IKHLASI - (Kiswahili)

KHUTBA HII YA EDDI ALFITRI INAZUNGUMZIA KUHUSU UMUHIMU WA IKHLASI KATIKA IBADA NA UWAJIBU WA MWISLAM KUENDELEZA IBAADA BAADA YA RAMADHANI.

Image

OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE - (Kiswahili)

Mada hii imezungumzia uhatari wa kuipenda dunia na wanawake.

Image

Hijabu Ya Mwanamke - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia hijabu ya mwanamke sifa zake na hukumu yake.

Image

Hukumu za swala - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu za swala,na hukumu za kusoma Alfatha,na jinsi ya kusoma katika swala,na viungo vinavyo sujudu na jinsi ya kusoma tahiyatu.na nafasi ya utulivu katika swala.

Image

KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia umuhim na ulazima wa kuwatendea wema wazazi wawili.

Image

KUSOMA AYATUL-KURSY NI SABABU YA KUINGIA PEPONI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.

Image

BID´AH ZA JENEZA - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazunguzia bid’ah (uzushi) katika mambo ya jeneza