Mada hii inazungumzia: Mipango ya makafiri juu ya kuuangamiza uislamu na kwamba ni mipango ya muda mrefu, pia imezungumzia umuhimu wa waislamu kujidhatiti katika vyuo, misikitiki na majumbani ili kuwajenga vijana wa kiislamu katika imani ya kweli.
Umuhimu Wa Imani 08 - (Kiswahili)
Umuhimu Wa Imani 09 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Sababu ya Maswahaba kufanya (Hijra ya kwanza) kuhama kutoka Makkah kwenda Habashi na yale waliyo jifunza, pia imezungumzia mbinu, njia na namna ya kufundisha.
Umuhimu Wa Imani 10 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha watoto Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w) na maadili ya kiislamu, pia imezungumzia ubora wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika matendo, na hatari ya kuiga tabia za kimagharibi.
Umuhimu Wa Imani 11 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu.
Umuhimu Wa Imani 12 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maswali na majibu, na imefafanua uharamu wa kufanya biashara ya nguruwe na kutumia chumo linalopatikana katika biashara hiyo, pia imezungumzia hatari ya kula haramu na kwamba mwnye kula haramu hata dua yake haijibiwi.
Umuhimu Wa Imani 13 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utofauti na mgawanyiko wa elimu katika jamii na kwamba kuna elimu ya lazima na elimu isiyo ya lazima, pia imezungumzia umuhimu wa elimu ya dini ambayo ndiyo elimu ya faradhi.
Umuhimu Wa Imani 14 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuhamasisha watu katika kutafuta elimu, pia imezungumzia chuki za makafiri juu ya waislamu na tofauti kati ya dola ya kiislamu na dola isiyokuwa ya kiislamu.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 01 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utambulisho wa Muadhi bin Jbal r.a, na nafasi yake kwa mtume na sifa za muadhi, kisha ameeleza wasia wa mtume kwa Muadhi, kasha ameeleza yalio kuja katika wasia ikiwemo maana ya Uchamungu.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 02 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi amebainisha matunda yanayo patikana katika uchamungu, ni kinga na maaduwi, na atampa nguvu na nusra, na atampa njia ya kujiepusha na matatizo, na kupata wepesi.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 03 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi anaendelea kutaja faida za Uchamungu kama kupendwa na Allah, kuondolewa na khofu na huzuni.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 04 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi, amezungumzia umuhimu wa kuwahusia watu kumcha Allah, na kwamba watu wema walikuwa wakiwahusia watu kumcha Allah, kama Abubakari na Omar (r.a)
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 05 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi, ameeleza qauli za watu wema katika kuwahusia watu uchamungu, pia amewahusia watu kumcha Allah katika kila Nyanja za maisha.

API
