×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 60 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo ambayo yakifanywa ndani ya swala yanapunguza ukamilifu wa swala, pia imeelezea hatari ya kufanya mchezo katika swala.

Image

Udhu Wa Mtume (s.a.w) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Othman (r.a) alivyofundisha udhu wa Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kufuata Sunna za Mtume (s.a.w).

Image

Sifa Ya Udhu Wa Mtume (s.a.w) - (Kiswahili)

"Mada hii inazungumzia: Utaratibu na namna ya kutawadha kama alivyotawadha Mtume (s.a.w). kama ilivyo kuja katika hadithi ya Humran(r.a) Pia amezungumzia ubora wa swala baada ya Udhu."

Image

Hukumu ya Maulidi Katika Uislamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ijue siku aliyo zaliwa Mtume s.a.w na jambo alilokuwa akifanya katika siku hiyo, pia wajue walio anzisha Maulidi.

Image

Mawlid – Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za Maulamaa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Historia ya Mazazi ya Mtume Rehma na amani za Allah ziwe ju yake, na hukumu ya kusherehekea na Qauli za Wanachuoni kuhusu maulidi.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (01) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa malezi ya kiislamu katika jamii, pia imezungumzia, lengo la kuumbwa kwa mwanadam na kuletwa duniani.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (02) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Misingi ya matendo mazuru na masharti ya matendo mema, kisha akabainisha ufupi wa umri wa Ummat Muhamad.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (03) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, kisha akabainisha umuhimu wakuitafuta pepo na kuipa nyongo dunia.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (04) - (Kiswahili)

Katika malezi ya uislam katika Qurani madhara ya kuwa na moyo mgumu, na ubaya wa kujifananisha na mayahudi, kisha amebainisha sababu ya kuto nufaika na Qur’an.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (05) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: neema ya Qur’an na Uharam wa shirki na maana yake kisha akabainisha watu wakwanza kuulizwa siku ya Qiyama.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (06) - (Kiswahili)

Malezi ya kiisla katika Quraan amebainisha Asili ya dini ya mwanadamu, kisha amebainisha kuwa Allah hawaongozi watu wauvo.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (07) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: madhara ya kuto kuifuata Quraan pia ameelezea madhara ya kuwazulia watu, na akamalizia kwa kuelezea maana ya kufilisika.