×
Image

Qauli yenye faida 17 Uislam upo katika Maumbile ya Mwanadamu - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.

Image

Qauli yenye faida 18 Matendo yanayo Muudhi Allah Mtukufu - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea Matendo ambayo yanamuudhi Allah kama kufanya shirki na kuabudu moto, na kuitakidi kuwa myoshi ya ubani uapeleka dua kwa Allah.

Image

Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.

Image

MSIMAMO WA SHIA IMAMIY AH ITHNA ASHER JUU YA MASUFI - (Kiswahili)

MSIMAMO WA SHIA IMAMIY AH ITHNA ASHER JUU YA MASUFI

Image

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo - (Kiswahili)

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo.

Image

Zawadi ya Msomaji katika kufahamu maneno ya Manani - (Kiswahili)

Kitabu hiki"Zawadi ya Msomaji katika kufahamu maneno ya Manani" kimeandikwa na Shekh Ahmad Khalil Shahin, ni katika vitabu muhimu sana, amebainisha ndani yake faida za kujua elimu zinazo ihusu Qurani ikiwemo Aya zilizo futwa na zilizo futa, makusudio ya sura za Quran sababu ya kuteremka ayah, na mambo ya wajibu....

Image

Kwa nini tunasoma Tawheed - (Kiswahili)

Kwa nini tunasoma Tawheed

Image

Minhajil Muslim - (Kiswahili)

Kitabu hiki kimetungwa na shekh Abubakari Aljazaairy, na amebainisha ndani yake maswala muhimu ya kiitikadi, adabu, tabia, ibada na jinsi ya kuamiliana na watu. kitabu hiki kimekusanya misingi mikubwa ya sheria ya uislam na matawi yake.

Image

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizofanyiwa Tarjama - (Kiswahili)

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zikizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi https://hadeethenc.com/app/#/list-categories?lang=sw

Image

IslamHouse.com - (Kiswahili)

IslamHouse.com ni mtandao mkubwa kwa kulingania katika Uislamu kwa kutumiya lugha za dunia, na ina vifaa bure katika lugha zaidi ya 100 na vitabu na kanda za redio na video na miundo ya Kiislamu na maombi na mengine https://islamhouse.com/sw/main

Image

HAKI ZA MAJIRANI - (Kiswahili)

KHUTBA HII INAZUNGUMZIA HAKI ZA MAJIRANI NA HAKI ZA MAYATIMA NA UMUHIMU WA HATARI YA KUVUNJA UDUGU.

Image

Ubunifu katika Ukamilifu wa Sheria na kutahadhari na Uzushi - (Kiswahili)

Ubunifu katika Ukamilifu wa Sheria na kutahadhari na Uzushi