×
Image

Umuhimu Wa Tawhidi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa tamko la twuhiid (Lailaha Illa Allah),na lengo la kuumbwa kwetu, na aya zilizo bainisha lengo la kuumbwa kwetu,na sababu ya kutumwa mitume,na maana ya twaghuti,na malipo ya atakae kufa na tawhiidi ya (Lailaha Illa Allah).

Image

Watu Wanyumba Ya Mtume - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha tawhidi,na uwajibu wa kumswalia mtume,na namna ya kumswalia mtume,na fadhila za ahlul baiti,na ubatilifu wa itikadi ya mashia.matusi ya mashia kwa ahlul baiti.

Image

Sherehe Ya Misingi Mitatu Ya Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya misingi mitatu.

Image

Unafahamu Maana Ya Ibada ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ufafanuzi kuhusu maana halisi ya ibada,na mtizamo mbaya ju ya maana ya ibada,na lengo la kuumbwa mwanadamu,na lengo la kutumwa mitume alayhimu ssalam

Image

Itikadi Dahihi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya mwislam ambayo anatakiwa kila muislam kuifuata,pia itikadi ambayo mwislam hatakiwa kuifuata kama itikadi za kishia na itikadi za kinaswara.

Image

Kumuabudu Allah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia maana ya ibada na athari za ibada na juhudi za maswahaba katika kuifwaata dini. pia madahii inazungumzia maana ya lailaha ila allah.

Image

Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya ahlusuna wal jamaa na imekusanya mambo muhimu katika mambo yanayo takiwa na kila muislam kuyatambuwa.

Image

Cheo cha Maswahaba - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia cheo cha maswahaba,na nafasi yao katika umma wa kiislam, na thamani yao kwa allah,na uwajibu wa kutetea heshima yao.

Image

Uislam - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

Image

Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia kumpwekesha allah,na umuhimu wa muislam kuwa na itikadi sahihi,na makosa yanayo pingana na itikadi sahihi.

Image

Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.

Image

Simamisheni Dini Msifarikiyane - (Kiswahili)

Mada hii imezungumzia kusimamisha dini na umuhimu wake na misingi ya kusimamisha dini na madhara ya kufarikiyana.