×
Image

Sifa za Swala - (Kiswahili)

Mafunzo mafupi kwa vitendo ya namna ya kutekeleza swala, ili tumuabudu Mwenyezi Mungu kwa ujuzi na swala yetu iwe imetimia nguzo na masharti.

Image

UKWELI KUHUSU USHIA - (Kiswahili)

Kitabu hiki ni Muhimu sana kwa Waislamu, na hasa watu ambao hawakupata nafasi ya kusoma dini zaidi, nimekiita: UKWELI KUHUSU UKAFIRI WA USHIA, kinalengo la kufichua itikadi za Mashia na upotofu wao na batili zao, na ubatili wa madai yao katika kuwapenda Ahlul Bayti (Watu wa nyumba ya Mtume, rehema....

Image

MTUME WA UISLAMU Muhammad - (Kiswahili)

MTUME WA UISLAMU Muhammad

Image

Je, uliwahi kujiuliza: Ni nani aliyekuumba? Na ni kwa nini? Na ni nini kitakuwa baada ya kifo? - (Kiswahili)

Je, uliwahi kujiuliza: Ni nani aliyekuumba? Na ni kwa nini? Na ni nini kitakuwa baada ya kifo?

Image

Maelezo ya udhu - (Kiswahili)

No Description

Image

Ulinzi wa Tauhidi - (Kiswahili)

Ulinzi wa Tawhidi

Image

NAMNA YA KUFANYA UMRAH - (Kiswahili)

Kijitabu "Namna ya kufanya Umrah" cha Sheikh, Abdulaziz bin Baaz, Mwenyezi Mungu amrehemu, kinaeleza ibada za Umrah kwa mtindo ulio wazi na unaoeleweka kwa urahisi; ili kitumike kama mwongozo wa kivitendo katika kusaidia Waislamu kutekeleza ibada zao za Hija au Umra kwa unyenyekevu na urahisi, kikiambatana na dua na nyiradi....

Image

Nani aliye umba Dunia? na ni nani aliye niumba mimi? na kwanini ameniumba? - (Kiswahili)

Kitabu "Nani aliyeumba Dunia? na ni nani aliyeniumba, na kwa ajili gani? kinajadili asili ya uwepo wa Dunia na Mwanadam, kwa kutilia mkazo kuwa Dunia haijaja kwa kuzuka na kwa kuja bila uwepo wa aliyeileta, isipokuwa inamuumbaji aliye mkubwa ambaye ni Allah, ambaye ameweka kanuni za ndani zaidi zinazoongoza maisha....

Image

MASOMO MUHIMU KWA UMMA WOTE - (Kiswahili)

Kitabu cha “Masomo Muhimu Kwa Umma Wote” cha Sheikh Abdulaziz bin Baaz - Mwenyezi Mungu amrehemu - ni risala fupi yenye manufaa makubwa. Aliiandika imamu huyu ili iwe akiba ya kielimu kwa umma wote wa Waislamu. Amezungumzia ndani yake misingi ya Dini na nguzo zake, kuanzia kumpwekesha Mwenyezi Mungu, Imani....

Load More