Makala hii inazungumzia: Mambo mbalimbali yanayohusu mwezi mtukufu wa Ramadhan, ikiwa ni pamoja na maana ya Swaumu, historia ya funga ya Ramadhan, na ubora wa swaumu na fadhila zake.
FUNGA YA RAMADHANI - (Kiswahili)
UKUMBUSHO KWA WAFUNGAJI - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu na ubora na uzito wa funga ya mwezi wa Ramadhan kwa mujibu wa Aya na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (s.a.w) pia kimezungumzia juu ya mambo yanayo tengua swaumu.
FADHILA ZA KULA DAKU - (Kiswahili)
Makala hii inazungumzia: Fadhila za kula daku na kwamba Allah pamoja na Malaika humtakia rehma mtu mwenye kula daku, pia imezungumzia ubora wa kuchelewesha kula daku.
Laylatul-Qadr- Vipi Uweze Kuupata Usiku Huu? - (Kiswahili)
Makala hii inazungumzia: Usiku wa cheo (Laylatul qadr) usiku huo ni bora kuliko miezi elfu moja, pia imezungumzia namna Mtume s.a.w alivyokua akijitahidi kufanya ibada katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan.
NI UPI USIKU WA LAYLATUL QADR ? - (Kiswahili)
Makala hii inazungumzia: Umuhimu wa Laylatul qadr na kwamba ni usiku wa cheo na fadhila nyingi sana kwa mwenye kufanya ibada, pia imezungumzia kua Laylatul qadr ni bora kuliko miezi elfu ambayo ni sawa na miaka themanini na tatu.
MASIKU KUMI BORA KATIKA MWEZI WA DHUL-HIJJA - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazungumzia masiku kumi bora ya Dhul-Hijja, na matendo yanayo pasa kufanya katika masiku hayo, kisha ameelezea swaumu, na ubora wa takbira, na kujikaribisha kwa Allah, kisha kimezungumzia siku ya Arafa, na namna ya kuhiji na kufanya Umra.
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.
Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.
Nasaha za vitendo vya Hijja 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah.
Nasaha za vitendo vya Hijja 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hijja ni wito na kwamba ni muhimu kujitahidi kufanya ibada katika masiku ya Hijja nakumuomba Allah sana ili kupata radhi za Allah katika masiku yahija matukufu.
Fadhila za Ibada ya Hijja - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Fadhila za Hijja na mapenzi ya Allah kwa waja wake na kwamba mwenye kufanya Hijja ya kweli malipo yake ni pepo, pia imezungumzia Hijja ni mazingatio kwa waja ili watu wasibaguane na wala wasidharauliane.
Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.

API

