×
Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.

Image

Matendo mema katika siku kumi za Dhulhija. - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Matendo mema katika siku kumi za Dhulhija imezungumzia ubora wa masiku kumi ya Dhulhija, na ubora wa matendo mema katika masiku hayo, pia imezungumzia sifa za takbira na aina zake.

Image

Hijja ni Arafa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Inazungumzia maana ya Arafa na Aya iliyoshuka kwa Mtume (s.a.w) alipokuwa Arafa, pia imezungumzia Arafa ni siku ambayo watu wanaachwa huru na moto.

Image

Mambo yanayo takiwa katika hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nguzo za Hijja na yaliyo wajibu kufanya katika Hijja, pia imezungumzia aina za Hijja na yanayo fungamana nazo.

Image

Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa siku ya Arafa na kwamba ni siku ya kutubia na kuomba dua pamoja na kufanya tasbihi sana, pia imezungumzia umuhimu wa kuwa na yakini na kuto kata tamaa kwani Rehma ya Allah ni pana.

Image

Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mapenzi ya Allah juu ya waja wake na kwamba siku ya Arafa ni sababu ya waja kurudi kwa Mola wao pamoja na kulia sana, pia imezungumzia siku ya Arafa Allah anakuwa karibu na waja wake.

Image

Kuukaribisha mwezi wa Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Namna ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan, pia imezungumzia kujiandaa kiibada na twaa ya kweli kabla ya kuingia Mwezi wa Ramadhan, na kuzidisha ibada na matendo mema ndani ya Mwezi wa Ramadhan.

Image

Umuhimu wa kukimbilia kutekeleza Nguzo ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Sababu za kukimbilia kutekeleza ibada ya hija miongini mwa sababu hizo: nikwamba mwanadamu hajuwi siku ya kufa, na hatuna uhakika wa kuishi, na kwasababu hija inaubora mkubwa, na kufutiwa madhambi na kuingia peponi.

Image

Yatupasayo kufanya katika miezi mitukufu - (Kiswahili)

Makala hii inazungumzia: Ubora wa miezi mitukufu na mambo yanayo tupasa kufanya katika miezi hii, pia imeelezea juu ya mambo yaliyo katazwa kufanywa ndani ya miezi hii mitukufu.

Image

Masharti nane ya hijabu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: masharti nane ya hijabu ya mwanamke wa kiislam, pia imezungumzia dalili katika Quraan na sunna juu ya hijabu ya mwanamke na uwajibu wa mwanamke kukaa nyumbani.

Image

Utamu wa ndoa 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utamu wa ndoa, na kwamba ili mtu apate ladha na utamu wa ndoa sharti atafute mwanamke au mwanaume mwema, pia imezungumzia umuhimu kwa wanandoa kusameheana ktk ndoa.