Makala hii inazungumzia: Nguzo za swala, vitendo vilivyo vya wajibu ndani ya swala na Sunna za swala, pia imezungumzia umuhimu wa kumfuata Mtume (s.a.w).
Nguzo Za Swala, Vitendo Vya Wajibu Na Sunna Katika Swala - (Kiswahili)
Umuhimu Wa Kupiga Mswaki Kabla ya Kila Swala - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Sunna ya kupiga msawaki, pia imeelezea nyakati muhimu na bora zaidi kwa mtu kupiga mswaki.
Unajsi Wa Nyama Ya Punda Wa Kufugwa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kula nyama ya punda na kwamba ni najsi, pia imeelezea mwaka ambao ilikatazwa kula nyama ya punda wa kufugwa.
Ute Na Mate Ya Mnyama Anayeliwa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utwahara wa ute na mate ya mnyama anayeliwa kisheria, pia imezungumzia namna ute wa ngamia ulivyo mmiminikia Swaha (r.a).
Utwahara Wa Ngozi Baada Ya Usafi Maalum - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:. Faida ya matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kutwaharishwa, pia imezungumzia kauli ya Mtume (s.a.w) juu ya uhalali wa jambo hilo.
Wanyama Wanaofaa Kusafishwa Ngozi Zao (Kudibaghi) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maana ya Kudibaghi ngozi ya mnyama, pia imefafanua wanyama wanaofaa kusafisha ngozi zao (kudibaghi au kutwaharisha).
Uharamu Wa Kutumia Vyombo Vya Dhahabu Na Fedha - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mama wa waumini Ummu Salamah (R.A) mpokezi wa hadith ya uharamu wa kutumia vyombo vya dhahabu na fedha.
Namna Mtume (s.a.w) Alivyotumia Chombo Cha Kafiri - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya safari ya Mtume (s.a.w) na Maswahaba (r.a) na jinsi walivyokutana na mwanamke mshirikina akiwa na maji wakayatumia yale katika kumywa na kutawadha.
Namna Ya Kuondoa Doa La Damu Ya Hedhi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kuondoa damu ya hedhi iliyoganda katika nguo, pia imezunguzia jinsi ya kubadilisha rangi ya damu ya hedhi iliyoganda katika nguo.
Namna Ya Kusafisha Ngozi ya Mnyama Aliyekufa (Kudibaghi) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuisafisha (kuidibaghi), pia imezungumzia jinsi na namna ya kuisafisha.
Nguo Yenye Athari Ya Manii - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kuswalia nguo yenye athari ya manii, pia imezungumzia nistoria ya Mama wa waumini Aisha (r.a).
Sharti Za Kutumia Vyombo Visivyokuwa Vya Waislamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kutumia vyombo visivyokuwa vya waislamu, pia imezungumzia Historia fupi ya Swahaba Abuu Thaalaba (r.a.w).

API

