Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike katika kutwaharisha, ambapo kwa mtoto wa kiume unanyunyizia maji, wa kike unafua.
Tofauti Kati Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike - (Kiswahili)
Matumizi Ya Ngozi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya Mama wa waumini Maimuna (r.a) Mke wa Mtume (s.a.w), pia imezungumzia mchanganuo wa kuisafisha ngozi ya mnyama aliyekufa.
Mtume (s.wa.) Kutumia Chombo Cha Kafiri - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kuswihi kutumia vyombo vya makafiri kwa dalili kuwa Mtume (s.a.w) alitumia chombo cha mama mmoja mshirikina (kafiri).
Maziwa Na Mkojo Wa Ngamia - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kujitibu kwa maziwa na mkojo wa ngamia, na hii ni dalili kuwa ute, mate na mkojo wa mnyama anayeliwa siyo najsi.
Mada hii inazungumzia: Ufafanuzi kamili juu ya utwahara wa ngozi ya mnyama aliyekufa, pia imezungumzia umuhimu wa jambo hilo kwa zama hizi tulizo nazo.
Kuosha Au Kukwangua Manii - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maana ya kukwangua manii, pia imeelezea mwenye kutokwa na manii atatakiwa kuoga janaba, ama yaliyodondokea katika nguo inafaa kuonsha na maji au kukwangua.
Pombe Ni Haramu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kunywa pombe ni haramu kwa dalili zote, pia imeelezea baadhi ya dalili za unajsi wa pombe.
Hukumu Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Tofauti katika kutwaharisha mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike ambao hawajaanza kula chakula isipokua maziwa ya mama.
Hukumu ya Matumizi Ya Vyombo Vya Wasiokuwa Waislamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kutumia vyombo vya wasiokuwa waislamu baada ya kuvisafisha, pia imefafanua juu ya hukumu ya kuwinda kwa kutumia mbwa.
Hukumu Ya Manii Ya Mwanadamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utwahara wa manii ya mwanadamu, pia imezugumzia namna Aisha (r.a) alivyokuwa akikwangua manii katika nguo ya Mtume (s.a.w).
Hukumu Ya Kuunga Chombo Kwa Dhahabu Au Fedha - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kuunga chombo kwa kipande cha fedha kama alivyofanya Mtume (s.a.w).
Mada hii inazungumzia: Maana ya sahihi ya neno mzoga, pia imefafanua uhalali wa matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuitwahirisha.

API
