Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Ubora wa kumtegemea Mwenyezi mungu - 49 - (Kiswahili)
Wenye kumtegemea Mwenyezi Mungu - 81 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Pepo na Moto 01 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Pepo ya Mwenyezi Mungu, na nimambo ya ghaibu na ni wajibu kwa muislamu kuamini, pia imezungumzia umuhimu wa kumuomba Allah Pepo.
Pepo na Moto 02 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna Mwenyezi Mungu alivyoiumba Pepo na vilivyo ndani yake, pia imezunguzia jinsi walivyo umbwa wanawake wa Peponi.Alla tuingize peponi.
Pepo na Moto 03 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa watu wa Peponi, pia imezungumzia namna watu wa Peponi watakavyo muona Allah (S.w).
Pepo na Moto 04 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa majina ya Pepo, pia imezungumzia namna watu watavyoingia Peponi kwa rehma za Alla.
Pepo na Moto 05 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Pepo iko juu na Mwenyezi Mungu ameshaiumba inasubiri watu wake, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba Pepo ya juu zaidi (Firdaus).
Pepo na Moto 06 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Pepo imezungukwa na yanayo mkera mja, na Moto umezungukwa na starehe, pia imezungumzia muhimu wa kujitahidi kufanya ibada na kuacha starehe na maasi.
Pepo na Moto 07 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Pepo ya A’dni Allah ameiumba kwa Mkono Wake, pia imezungumzia miongoni mwa neema za Peponi.
Pepo na Moto 08 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Milango nane ya Peponi na watakaoingi katika milango hiyio, pia imezungumzia kuwa ibada ndio zinazo wapelekea watu kuingia Peponi.
Pepo na Moto 09 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ilivyo milango ya Pepo na upana wke, pia imezungumzia kwamba subra ni katika sababu za kumfanya aipate Pepo.

API
