×
Image

Pepo na Moto 22 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sifa za watu wa Peponi na sifa za watu wa Motoni, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na sifa za makafiri, na wanafki na washirikina.

Image

Pepo na Moto 23 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Malipo ya wenye kutekeleza maamrisho ya Myenyezi Mungu na wakafuata Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).

Image

Pepo na Moto 24 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtu wa kwanza kuingia Peponi, na watu watakao fatiaa, pia imezunguzia hatari za kula na kufanya mambo ya haram.

Image

Pepo na Moto 25 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyo wapigia Maswahaba mifano ya njia Peponi naya Motoni, pia imezungumzia uwajibu wa kuizuia nafsi kufanya maasi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kutawadha kama alivyo tawadha Mtume (s.a.w) kutokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Fadhila za udhu na daraja anayopata mtu aliyetawadha kisha akatembea kuelekea msikitini, na kwamba udhu ndio ufunguo wa swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na namna Mwenyezi Mungu anavyo mfutia madhambi mja wake kwa sababu ya udhu (kutawadha),

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na umuhimu wa kusoma na kujua alivyotawadha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia ubora wa rakaa mbili Sunnat Al-wudhuu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na uwajibu wa kueneza udhu katika viungo, pia imezungumzia unyenyekevu katika swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kutia niya na kusema bismi Llahi wakati wa kutawadha.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kuosha vitanga vya mikono wakati wa kutawadha, pia inafafanua namna ya kusukutua na kupandisha maji puani.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kuosha uso wakati wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kuosha mikono mpaka katika viwiko viwili.