Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuswali swala ya Taraweh, pia imeelezea maana ya sunna ya Qiyamu layli (Tahajud)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 079 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 080 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa swala ya Qiyamu layli (Tahajud), pia imeelezea sifa za waumini wa kweli
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 081 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Alama za watu wema hapa duniani, pai imeelezea umuhimu wa kujipamba na sifa ya ucha Mungu
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 082 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kuacha swala na sababu ya kuporomoka kwa maadili katika zama zetu, pia imeelezea jinsi baadhi ya wanawake wanavyo chupa mipaka
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 083 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kujiepusha na sifa mbaya, pi a, imeelezea ubora wa kuwasaidia wenye shida na mafukara
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 084 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Daraja la watu wenye kuitikia wito wa Allah, pia imeelezea umuhimu wa kufuata sunna na hatari ya bid’a (uzushi)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 085 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Swala za usiku (Qiyamu layli) ni utukufu kwa muumini, pia imeelezea umuhimu na ubora wa kusoma Qur’an
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 086 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Malipo ya mwenye kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea kushuka kwa Allah katika nusu ya mwisho ya usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 087 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muda ulio bora kwa swala za usiku (Qiyamu layli), pia imezungumzia adabu za swala ya usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 088 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa adabu za swala za usiku ni kulala mapema, pia imeelezea umuhimu wa kuwaamsha ndugu na jamaa katika swala za usiku
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 089 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kusoma Qur’an katika swala za usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea umuhimu wa kusujudu kwa ajili ya Allah
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 090 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo anayotakiwa kuyajua mwenye kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea wanaoswali usiku ni vipenzi wa Allah

API
