×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 091 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Baadhi ya mambo yanayompelekea mtu kuwa na moyo wa kuswali usiku, pia imeelezea aina ya ndoto zenye faida

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 092 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kupunguza mipango na kufanya bidii ya kuswali usiku (Qiyamu layli), pia imeelezea ubora wa kukumbuka kifo

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 093 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah, pia imeelezea hatari ya kuzama katika maovu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 094 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuitumia fursa na afya katika kufanya ibada kwa ajili ya Allah

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 095 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo matano ya kuzingatia ukiwa hapa duniani, pia imeelezea umuhimu wa kuipa nyongo dunia

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 096 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayosaidia kuamka kuswali usiku ni mtu kulala akiwa twahara, au kulala na udhu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 097 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kushiba sana usiku ni katika sababu zenye kumfanya mtu kushindwa kuamka kuswali (Qiyamu layli), pia imezungumzia swala za usiku zinampandisha mja daraja

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 098 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina pamoja na mgawanyiko wa swala za Sunna, imeelezea swala za Sunna zilizo za sababu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 099 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nafasi ya Swala katika Uislamu, pia imeeleze umuhimu wa kuchunga masharti na wajibati katika swala

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 100 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Swala za Sunna zilizo za sababu na nyakati zake, pia imeelezea sijida ya kisomo (sijidatu tilawa) na umuhimu wake

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 101 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kisomo (sijdatu tilaawah) na namna ya kusujudu Sijda ya hiyo ndani ya swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 102 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kushukuru (Sijdatu shukri) na wakati gani wa kusujudu sijda hiyo.