Mada hii inazungumzia Mwisho wa maisha ya mwanadamu na jinsi ya kujiandaa na Akhera.
Mwisho wa Mwanadamu - (Kiswahili)
Watu Wa Motoni - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Baadhi ya hali za watu wa motoni.
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)
1- Mada hii inazunguzia ubora wa kumtaja Allah na umuhimu wa kula kwa mkono wa kulia 2- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri Na malipo ya mwenye kufanya Dhikri. 3- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri kama alivyotufundisha Mtume (S.a.w) 4- Mada hii inazunguzia ubora wa kumtaja Allah,....
Baadhi Ya Njia Zinazo Saidia Kuacha Maasi - (Kiswahili)
1- Mada hii inazunguzia namna umma ulivyozama katika madhambi na tiba ya kuacha madhambi. 2- Mada hii inazungumzia baadhi ya njia zinazo msaidia mtu kuacha madhambi ikiwemo dua na kushindana na nafsi,na kujiepusha na marafii wabaya.
Baadhi Ya Matatizo Ya Vijana - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Matatizo ya vijana wa kiislam na tiba yake.
Watakao Ingia Peponi Na Motoni Bila Hesabu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia makundi ya watu wanne watakao ingia peponi bila hesabu, na makundi ya watu wanne watakao ingia Motoni bila hesabu.
Sharti Za Walii Katika Ndoa - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Walii katka ndoa,katika yalio zungumzwa:Sharti za walii,na Umuhumu wa kuheshimu Ndoa,na wanavyo takiwa wawe wanandoa.
Kujihifadhi Mwanamke Na Umuhimu Wa Hijabu - (Kiswahili)
Mada hii ya sauti inazungumzia uwajibu wa wanawake kujistiri na umuhimu wa kuvaa hijabu na malipo anayo pata mwenye kuvaa hijabu atika nchi za fitna.
Ibada ndogo zenye malipo makubwa - (Kiswahili)
Mada hii ya sauti inazungumzia Ubora wa kumtaja Allah na Ibada ndogo zenye malipo mengi bishara ya mtume (s.a.w) kwamwenye kufanya dhikri, dhikri nikupandikiza mtende peponi.
Faida Ya Malezi Mema - (Kiswahili)
1-Mada hii inazungumzia:Faida ya malezi mema, na amezungumzia kuwa Allah ndio mwenye kutowa watoto, na amezungumzia misingi ya kupata mototo mwema ikiwemo kuchaguwa mke mwema,na Haki za mtoto baada ya kuzaliwa. 2-Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuwasomesha Quraan, na Uhatari wa kutowasomesha watoto dini matokeo yake watoto wanakua hali ya....
Kubainisha Haki - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki
Biashara Na Sharti Zake - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa biashara katika jamii na sharti zake na kwamba ni lazima kwa wafanya biashara kuwa na elimu ya biashara, pia imezungumzia maana ya biashara na kubainisha biashara yenye Baraka na biashara isiyo na barka.

API
