Mada hii inazungumzia:Kufanya juhudi ya kuyashinda matamanio na faida zake, na mwenye kuyashinda matamanio hawezi kuwa dhalili, imezungumzia pia hatari ya kuingiza matamanio katika dini (kuzua katika dini).
Kuyashinda Matamanio - (Kiswahili)
Hatari Ya Kuwaasi Wazazi Wawili - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafanyia wema wazazi wawili na hatari ya kuwaasi, pia ubora wa mke mwenye kuwapenda wazazi wa mumewe, na imezungumzia kisa cha mtu aliyemchinja mzazi wake baada ya muda na yeye akachinjwa na mwanae.
Maadui Wa Uislamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki.
Nasaha Muhimu Kwa Mume Katika Ndoa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja na uadilifu katika kutekeleza haki za wake, na chanzo cha kukataa mke kuongezewa mke wa pili, na msimamo na subra kwa alie ongeza mke wa pili. 2- Mada hii inazungumzia:Utukufu wa ndoa na nasaha muhimu kwa mume katika kuoa, pia....
Uongofu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ungofu ni katika neema kubwa za Allah, na binadamu akikosa uongofu huingia katika upotevu, imezungumzia pia kwamba maisha ya dunia ni starehe ndogo sana, na nyoyo zimekua ngumu kwasababu ya tamaa za dunia.
Neema Ya Mvua - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora wa mvua, na wingi wa neema ambazo Allah ametuneemesha wanadam kwamba hakuna yeyote wa kuweza kuzihesabu, imezungumzia pia namna ya kuzishukuru neema za Allah.
Baadhi Ya Makosa Katika Kuzika - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Baadhi ya makosa katika kuzika, na umuhimu wa kukumbushana na ubora wa kuijufunza ibada na kuisoma, na miongoni mwa makosa katika kuzika nikuweka mto wa maiti, na kufunguliwa sikio na kidole gumba, nakulifanya kaburi pembe nne.
Chenye Kuvunja Starehe - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:Kifo na mandalizi yake na mafanikio ya mwenye kufanya mema akiwa kaburini, pia kazungumzia maisha mapya kaburini, na uwajibu wa kufanya mema na kuacha maovu
Makosa Wanayo Fanya Wanawake Katika Minasaba Tofauti - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:Makosa makubwa wanayo fanya akina mama katika kupeyana mafunzo au misiba au sharia, pia ametaja sifa ya mwanamke ambae ni Dayuth, kisha amezungumzia Umuhimu wa kukumbushana katika Dini.
Kufunga Katika Siku Ya Shaka - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam.
Jinsi Ya Kuyapata Mapenzi Ya Allah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Jinsi ya kupata mapenzi ya Allah, shekh amezungumzia njia mbali mbali za kuyapata mapenzi ya Allah, ikiwemo kupewa hekima, na utulivu na amani na kukinai, pia amezungumzia mambo ukiyafanya utapendwa na Allah.
Kufaulu Kukubwa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kufaulu kukubwa na maana yake, na aina za kufaulu, na kufaulu duniani na Akhera, na mambo yanayo ufanya uwe miongoni mwa walio faulu.

API
