×
Image

Sifa Za Ghurabaa Aliowataja Mtume (S.A.W) - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Sifa za Ghurabaa waliotajwa na Mtume (s.a.w), kwamba ni wale wanaotengeneza pindi watu wanapo haribu, pia imezunguzia Ghurabaa ni wale wanao shikamana na Manhaji ya Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sifa za Ghurabaa ni kushikamana na Sunna na kuthibiti katika haki na kujiepusha....

Image

Adabu Za Siku Ya Iddi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia adabu za siku ya Idd

Image

Sababu Za Kutofautiana Katika Dini - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu za kutofautiyana na tiba sahihi ya kutofautiyana pia imezungumzia athari mbaya za kutofautiyana.

Image

Madhambi Ya Kusengenya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia madhambi ya kuwasengenya watu na aina ya kumsema mtu.

Image

Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an - (Kiswahili)

Silsila ya mada za sauti za Tarjama ya Quran tukufu kwa lugha ya kiswahili inayo itwa "Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an" iliyo fanywa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani tafsiri hii inasifika kwa ufasaha wa lugha, masahafu huu umekusanya sauti ya msomaji wa Quraan, na sauti ya anaesoma tarjama ya....

Image

Khutma ya Mkosi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia khutba ya mkosi na sababu ya kuitwa hivyo pia amezungumzia vitisho vya siku ya Qiyama. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita imeelezea hali za watu wamotoni na vyakula vyao na nguo zao, pia mezungumzia maneno ya shetani atakayo zungumza motoni.

Image

Masiku Bora Duniani - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Uchamungu, na maana ya khutbatu Alhaja, kisha akabainisha swala ya khusufu na Malengo ya khusufu. 2. Mada hii inazungumzia: Fursa ya kuyafikiwa na masiku bora duniani, kisha ametaja miezi mitukufu, na akaeleza ubora wa masiku hayo, na ubora wa siku ya Arafa. 3. Mada....

Image

Kuihesabu Nafsi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia Umuhimu wa kuwa mchamungu na hasara za kukosa uchamungu kisha akaelezea kuwa Mwaka mpya nimwaka wa kuihesabu Nafsi. 2. Mada hii imezungumzia ufupi wa umri wa mwanadamu, nakwamba ameumbwa kutokana na masiku, kisha akabainisha kuwa katika kuihesabu nafsi nikujuwa mema aliyo yafanya, na kwamba kuikaguwa nafsi....

Image

Sababu za kupata mali - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu za kupata mali, miongoni mwa sababu hizo: Ni Uchamungu, na ukweli katika maneno na vitendo na katika niya yake, hiyo nisababu ya kutengamaa mambo yote.

Image

Janga la madawa ya kulevya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Maada ya pombe na hukumu ya kutumia na kuuza pombe, kisha amebainisha kuwa madawa ya kulevya ni katika yana hukumu ya pombe, na ameelezea madhara ya madawa ya kulevya kiafya kidini na kijamii na kwamba pombe ni mama wa Machafu.

Image

Janga la Umbeya - (Kiswahili)

1. Mada hii inaelezea: Maana ya kusengenya (Umbeya) na kwamba ni katika madhambi makubwa, kisha amebainisha sifa za watu wenye umbeya, na kwamba nimtu washari, na ataadhibiwa katika kaburi lake. 2. Mada hii inaelezea hatuwa za kufanya katika kutibu maradhi ya Umbeya, na katika hatuwa hizo ni kuthibitisha habari unazo....

Image

Nafasi ya nia katika Ibada - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea nafasi ya nia katika ibada, ameeleza maana ya nia na mahala pake katika ibada na jinsi ya uweka nia katika ibada.