Maana ya Aibu pila ameeleza kua Allah anazijua siri zetu, kisha ameeleza udhaifu wa mwanadamu na tabia za watu katika kusema aibu za wenzao, na tiba ya maradhi ya kutangaza aibu za watu.
Tabiya za watu katika kutaja aibu za Wenzake - (Kiswahili)
Mapokezi Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani - (Kiswahili)
1- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kusafisha moyo na machafu na kuwasamehe walio tukosea, pia miongoni mwa mapokezi ya Rmadhani ni kuisoma Fiqhi ya swaumu. 2- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kujitwaharisha na shirki na kuwaidhika kutokana na....
NDOTO NJEMA - (Kiswahili)
NDOTO NJEMA
TAKBIRA - (Kiswahili)
TAKBIRA
NGUZO ZA UISILAMU KUTOKA HOTUBA ZA AL-MASJID AN-NABAWI - (Kiswahili)
NGUZO ZA UISILAMU KUTOKA HOTUBA ZA AL-MASJID AN-NABAWI
Ta'liimu al-qiraa-ati lilmubtadi-iina - (Kiswahili)
Ta'liimu al-qiraa-ati lilmubtadi-iina
Ujumbe huu umeandikwa na baadhi ya wanachuoni na wanatamaduni wa kiislam walio ungana ili kichunguza mfungamano wa inchi za kimagharibi na usulubu gani bora na mwafaka utakaotumika kwa wenye kudhihirisha kusudi zao kwa kuvuka mipaka ya uislamu uliotukuka, kwa kutumia vikao rasmi vya kidini na vya habari katika nchi za....
Qur'ani Tukufu ni nini? - (Kiswahili)
Qur'ani Tukufu ni nini?
HABARI KUBWA - (Kiswahili)
kitabu hiki cha Habari Kubwa – kiko tofauti na vitabu vingine vya miujiza ya Qurani – kwani kinajipambanua kwa mambo mengi, miongoni mwayo ni a)- Ufafanuzi mzuri, ibara nyepesi, na dibaji mzuri) b- Kitabu kipo katika umbo la kati na kati, hivyo msomaji hachoshwi wala hatakiona kuwa ni kirefu sana.....
Siku Ya Ashura - (Kiswahili)
Siku Ya Ashura
Mwezi wa Muharram - (Kiswahili)
Mwezi wa Muharram
Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram - (Kiswahili)
Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

API





