Mada hii inazungumzia kuoga,maana yake,na nyakati za wajibu kuoga,na jinsi alivyo oga mtume s.a.w,namna ya kuoga janaba, na hedhi na nifasi,ukumbusho muhimu.
KUOGA - (Kiswahili)
KIZUIZI CHA MWENYE KUSWALI - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia kuweka kiziwizi wakati wa kuswali,na namna ya kufanya akipita mtu mbele ya mwenye kuswali,na vitu venye kutengua swala vikipita mbele,na anaetakiwa kuweka kiziwizi.
Nyumba Ya Peponi - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sunna ambazo mtu akizifanya Allah anamjengea mtu huyo nyumba Peponi.
MAKOSA YA MAHUJAJI - (Kiswahili)
Mada hii inaongelea makosa yanayofanywa na baadhi ya mahujaji, na usahihi wake.
NGUZO ZA SWALA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia Nguzo Za Swalah, Vitendo Vya Waajibu Na Sunnah Katika Swalah.
Sifa Ya Hijjah Na Umrah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hatua zote anazopitia mtu mwenye kufanya Hjjah, na mwenye kufanya Umrah.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
WAKE WANAO STAHIKI KUACHWA NO2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia,wakewanaostahiki kupewa talaka,kwasababu ya tabiya mbaya walizo nazo zinazo pingana na uislam.
NI NANI KAMA MAMA? - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia ubora wa Mama kwa mwanae, katika jamii na hata mbele ya Allah (S.w)
VIPI ANATAKIWA AWE MWANAMKE MWEMA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia mwanamke bora ni Yule mwenye kuimarisha ndoa yake kwa kutekeleza haki za mumewe.
Uzushi Wa Nusu Ya Sha’baan - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia na kufafanua uzushi unaofanywa na baadhi ya watu katika mwezi wa Shaabani.
ADABU ZA KULA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia adabu na dua ya kula

API

