Mada hii inazungumzia namna ya kujikinga na kila balaa na ubaya.
NI YUPI RAFIKI MWEMA? - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia umuhim wa kutafuta rafiki mwema
UBORA WA KUMLEA YATIMA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ubora wa kumlea yatima na hatari ya kumdhulum, kumnyanyasa na kumtesa.
UBORA WA KUTOA SADAKA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.
RIBAA - (Kiswahili)
Kitabu hii kinazunguzia riba na uharam wake
SHAYKH AL-ISLAM IBN TAYMIYYA MWANA CHUONI WA WANA CHUONI - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazunguzia kuhusu Imamu Shekh Al-Islam Ibn Taymiyyah maisha yake na upana wa elimu yake na juhudi zake katika kuelimisha ummah.
USIFUATE MAMBO AMBAYO HUNA ELIMU NAYO - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea ubora wa elimu na hatari ya kufuata mambo ambayo huna elimu nayo.
UKWELI KUHUSU KRISMASI - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mas’ala ya krismasi na uzushi wake
KUJITOA MUHANGA KUNAMUWEKA MTU MBALI NA ALLAH - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia hatari ya kujitoa muhanga na humuweka mwenye kujilipuwa mbali na uislam.
HUKUMU YA KUMTAKIYA MTU KRISMASI NJEMA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia madhambi ya kumtakia mtu krismasi njema
WIVU KWA MKE MWENZA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ubora wa mwanamke alie fanya subra baada ya mumewe kuoa mke mwingine
HALI YA KABURI NA VITISHO VYAKE - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hali za watu wema na waovu Makaburini na vitisho vya Kaburi.

API


