Mada hii inazunguzia Furaha ya ndoa na jinsi ya kuidumisha katika maisha ya ndoa na tiba ya magomvi katika ndoa.
FURAHA YA NDOA - (Kiswahili)
HUKUMU YA KULA MALI YA MTU, NA KUMSWALIA MAITI BAADA YA ASRI,NA HUKUMU YA BENKI ZA KIISLAM - (Kiswahili)
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kula mali ya ndugu yako,na hukumu ya kuswalia jeneza baada ya Asri ,na hukumu ya kuweka pesa katika benki za kiislam.
KUHESHIMIYANA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.
MADHARA YA KULAUMU WATU - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Baadhi ya tabiya mbaya ya kulaumu na madhara yake.
KUMUASI ALLAH KWAAJILI YA MAPENZI - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Janga la kumuasi Allha jwasababu ya mapenzi na tiba ya maasi hayo.
VIJANA BAINA YA NDOA NA MASOMO - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia uwezekano wa kijana kuowa akiwa masomoni.
Mada hii inazunguzia hukumu ya kusherehekea sikukuu ya wapendanao na chanzo cha sherehe hiyo.
NAMNA YA KUJIKINGA NA SHETANI WAKATI WA KULALA NO1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia adabu za kulala na umuhimu wa nia katika ibada na namna ya kujikinga na shetani
KINGA YA SHETANI WAKATI WA KULALA NO2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga na shetani wakati wa kulala na faida ya kusoma aya za mwisho katika suratu Albaqra.
UHARAMU WA KUJICHUBUA NGOZI NA KUUNGA NYWELE - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uharamu wa kujichubuwa ngozi na kuunga nywele, madhara yake na hukumu ya kisheria katika kufanya hivyo.
FAIDA YA KUSAMEHE NA HASARA YA KUTOSAMEHE - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora wa kusamehe unapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi, na njia za kujiepusha na hasira.
FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.

API

