×
Image

Shekh Ahmad Khalil Shahin

Shekh Ahmad Khalil Shahin

Image

Salah Mohammed Budair

Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

Image

Yasini Twaha Hassani

Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar....

Image

HAMZA RAJABU SEYFU

Sheikh Hamza Rajabu Seyfu ni mmoja katika walinganiaji wa mji wa Mwanza nchini Tanzania kamaliza chuo kikuu nchini Saudi arabia kitengo cha Sheria (Usuluddin) ni Imamu na khatwibu katika masjid Taqwa jijini Mwanza yupo katika manhadi ya salafu sswaleh.

Image

Shahidi Muhamad Zaid

Shekh Shahidi Muhammad Zaid: Amehitim masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji katika mji wa Mwanza Tanzania.

Image

Qasim Mafuta

Shekh Qasim Mafuta: Amehitim masomo katika Chuo kikuu cha kiislam Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni Mlinganiaji maarufu nchini Tanzania na nje ya Tanzani, pia ni Mudir katika markazi yake, Pongwe Tanga Tanzania.-

Image

Hashim Rusaganya

Shekh Hashim Rusaganya: Amehitimu masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni katika walinganiaji wakubwa Nchini Tanzania, na ni muongozaji wa Mahujaji wakati wa Hijja.

Image

Salim Barahiyan

Shekh Salim Barahiyani: Amemaliza masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. na amehitimu masomo ya Masta nchini Pakistan, nimlinganiaji mashuhuri Kwa sasa ni mlinganiaji katika mji wa Tanga na ni Mudir katika Markaz za Answar nchini Tanzania.- فضيلة الشيخ سالم عبد الرحيم....

Image

Yusufu Abdi

Shekh Yusuf Abdi: Ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa nchini Kenya.-