×
Image

Al-Amin Ally Rajab

Shekh Al-Amin Ally Rajab amehitimu masomo katika chuo cha Maahad kisauni mombasa enya, na nimlinganiaji kenya na ni khatwibu katika msikiti wa Yusuf tudor Mombasa Kenya.

Image

Muhammad Ibrahim Al-Sabri

Nimlinganiaji na anajuhudi katika kufanya Daawa na nimtunzi wa vitabu.

Image

Husseni Saidi Sembe

Shekh Husseni Saidi Sembe: Ni mlinganiaji katika mkoa wa Kilimanjaro, na ni Imamu na Khatib katia Msikiti wa Answari Moshi Tanzania.

Image

Swalehe Ibrahim

No Description

Image

Shamsi Ilmi

Shekh Shamsi Ilmi: Ni mlinganiaji kupitia chaneli ya Tv Afrika na Redio Qiblatein Iringa, pia ni Katibu katika taasisi ya Dhinurayni nchini Tanzania.

Image

Ahmad Al Zahran

Shekh Ahmad Al Zahran: Ni Muhadhir katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mkuu wa Da’awa katika taasisi ya World Assembly of Muslim Youth (WAMY) kwa nchi ya Tanzania, na anafanya kazi katika maktaba ya Jariyat Badia, Rayadh Saudi Arabia.

Image

Nasoro Abdallah Bachu

Shekh Nassor Abdallah Bachu: Alikua ni mlinganiaji maarufu nchini Tanzania, na alikua akitoa Darsa katika misikiti mbalimbali ndani na nje ya visiwa vya Zanzibar, pia alikua ni Imamu na Khatwib katika Msikiti wa Rahaleo Zanzibar mpaka anafariki dunia, Allah amsamehe na amrehem, Ameen!.-

Image

Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym

Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym kazaliwa katika kijiji cha Basra katika mji wa Burayda Qswim, amehitimu katika Imamu muhamad bin saud islamic University, anafanya kazi ya Daawa chini ya wizara ya mambo ya kiislam na Daawa. (The Ministry of Islamic Affairs, Endowments, Call and Guidance).

Image

Swaleh Al-Zahran

Swaleh Al-Zahran amemaliza masomo katika chuo cha Imamu muhamad bi saud University na ana juhudi za Daawa africa mashariki.

Image

Nurdin Kishki

-Shekh Nurdin Kishki: Ni mlinganiaji na ni Imamu na Khatib katika Msikiti wa Vetinari Temeke Dar es salaam Tanzania.