Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.
Shekh Abdurahmani Muhina: Kasoma katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Imani na Tv Afrika.
Shekh Yunus Kanuni Ngenda: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mhakiki wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni Imamu na Khatwib Masjid Rahman, Mbezi Beach Dar Es Salaam Tanzania.
No Description
Mjumbe wa Baraza la Wasomi Wakubwa katika nchi ya Saudi Arabia
Shekh Abuu Musa Abubakari Musa Kiza amehitimu masomo katika chuo cha Maahad Kisauni Mombasa Kenya nanikatika walinganiaji katika mkoa wa Tabora na nirais katika kituo cha kislam Kaloleni Tabora.
Shekh Abuu Hashim Abdulqaadir amesoma katika chuo kikuu cha kiislam Madina na nimwalimu katika markazi Tawhiid na Madrasatul Al-Munawara Mombasa Kenya na nikhateibu katika masjid mula Mombasa Kenya.
Shekh Abuu Anasi Bwaluka ni katika walinganiaji wa Ahlusuna waljamaa katika nchi ya Tanzania na nikhatwibu katika msikiti wa Answari Kilimanjaro moshi Tanzania.
Arafat Magmoud amesoma katika chuo cha Kisauni College akapata Degree katika masomo ya kiislam, ni khatwibu katika kituo cha Ibn Taymiya na nimlinganiaji katika visiwa vya Zanziba.
Sheikh: Zaidi Bashiri ni mmoja katika walinganiaji wa kisunna mwenyeji wa Mombasa Kenya pia ni mwanafunzi wa Sheikh: Abdallah Al-farisi Mfasiri wa Qur’ani tukufu kwa lugha ya kiswahili, nimtowaji wa mawaidha kwanjia ya Ahlu sunna wal-jamaa.

API
