×
Image

MUHARAM IDRISA MWAITA

Shekh Muharam Idrisa Mwita: Amemaliza masomo yake katika kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika Tv Afrika.-

Image

Saidi Mtatuu Mango

-Shekh Saidi Mtatuu Mango: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji katika mji wa Singida.

Image

Salim Qahtwani

-Shekh Salim Qahtwani: Amemaliza masomo yake ya Dini nchini Sudan, kwa sasa ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib ktika Misikiti ya Answar Tanga, pia ni mwalimu katika Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, Tanga Tanzania.

Image

ALLY ZUBERI

Shekh Ally Zuberi: Amemaliza masomo yake kitengo cha Hadith katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji katika Mkoa wa Tanga na ni khatwib katika Msikiti wa Darul Uluum, pia ni Mudiri wa chuo cha Darul Uluum Tanga Tanzania.-

Image

Ibn Qayyim Al-Jawziyya

Ibn Qayyim Abu Abdullah al-Shams al-Din Muhammad bin Abi Bakr ibn Ayyub bin Saad bin Hariiz bin Makki Zainuddin kisha Kisha nimtu kutoka Damascus na anafuata Madhehebu ya Hanbali, anajulikana kwa jina la Ibn Qayyim Al-Jawziyya, Kazaliwa siku ya saba ya mwezi wa Safar Mwaka 691 H. Na alifariki usiku....

Image

Ahmed bin Abdul Halim bin Taymiyyah

Shaykh Al-Islam Ibn Taymiyyah Mungu Amrehemu: Ahmad Taqiy Al-Din Abu Al-Abbas Bin Abdul Halim Bin Abdul Salam Bin Abdullah Bin Abu Al-Qasim Alkhadhwar Bin Mohammed Bin Khadhwar Bin Ali Bin Abdullah Ibn Taymiyyah Al Harrany. Wametaja wanachuoni wa Tarjama Qauli tofauti katika sababu ya ya kuitwa familia yake kwa jina....

Image

Muhammad Nasiruddin Al-Albani

Mwana chuoni Shekh Muhammad Nasiruddin Al-Albani ni mmoja ya wanachuoni wa kiislam Mashuhuri katika zama za sasa na anazingatiwa Shekh Al-Albani nikatika wanachuoni wa Fani ya Hadithi mashuhuri wakipekee katika elimu ya Jarhi na Taadili (Kukosowa), Shekh Al-Albani ni Hoja katika Elimu ya Misingi ya Hadithi (Mustwalahu Alhadithi), walimzungumzia wanachuoni....

Image

Nassor Khamis

-Shekh Nassor Khamis: Ni mlinganiaji maarufu nchini Kenya, na ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa Kenya.

Image

Hilal Sheweji Kipozeo

Shekh Hilal Shaweji Kipozeo: Ni mlinganiaji maarufu katika nchi ya Tanzania, pia ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali jijini Dar Es Salaam.

Image

Abdallah bin Muhammad Al-Salafy

Ana juhudi zake katika utafiti wa mafundisho ya itikadi za kishia